Tuesday, July 31, 2012

Ruth Matete: TPF5 WINNER

- Ruth Matete, 26 yesterday shocked the country when she was voted by the public as the best artiste among 4 finalists in Tpf 5. In tears Ruth fell on the ground when her name was announced by an EABL executive.

Ruth was among the best four contestants, who were left standing after 8 weeks in the house. Among them was Jackson from Rwanda, Joe from Burundi and Doreen a.k.a cry baby from Kenya. Jackson rocked the house with his outstanding performance; Ruth followed him with a rock and roll performance which showed the world that they were ready to be super stars.

Doreen in the past weeks in the house has been seen as a troubled big baby with inferiority complex and seems to have been seeking for sympathy from her fans; she however got a soft spot from her college mates because she was saved by their votes every time she was put on probation.

She was lucky to take the first runners-up position overtaking one of the best contestants-Jackson- who came 2nd runner up and Joe being the last.

Ruth carried home cash amounting to Sh. 5 million which was dramatically presented by G4S security guards. She also got a one year recording contract with Universal Record worths Sh. 10 million.

We at the DAILY POST wish Ruth success in her music career.
Kwa hisani ya http://www.kenyan-post.com.

MSHINDI WA TPF5 KUTOA FUNGU LA KUMI.

Ruth Matete yule aliyejinyakulia kitita cha Sh Mil 5 za kikenya kwa kuibuka kinara katika mashindano ya Tusker Project Fame Season 5 yaliyomalizika Jumapili iliyopita amereveal kwamba atatoa fungu la kumi kabla ya kufanya kitu chochote kama kumshikuru mungu kwa yote aliyomfanyia.

Ruth Matete ambaye ni mtoto peke baada ya mama yake kufariki akiwa na Umri wa miaka 8 na kutunzwa na baba yake mzazi, Abel Amunga ambaye ni mwigizaji wa nchini kenya, amesema ataendelea kuimba katika kwaya yake, kwani amekuwa na wanakwaya wenzake kwa kipindi chote na anaimani mafanikio hayo ameyapata kupitia kanisa lake.

Zaidi amesema kwamba yuko mbioni kujinunulia gari lake zuri la kifahari lakini kabla ya yote kwanza lazima atoe fungu lake la kumi kanisani kama shukrani.
Go, Ruth... mungu kakusikia kilio chako na pia mrudishie alichokuomba " Just a Tithing". sawa sawaaa!

0 Comments: