Tuesday, July 31, 2012

COLLABO YA WABONGO NA KENYA

Wasanii kutoka Tanzania, akiwemo, Aslay, na Mheshimiwa Temba wameungana na wasanii kutoka kenya, Shirko na Amoury Beyby, wameachia bonge la Colabo jina "Kicheche" pamoja na video yake ambayo kwasasa iko mitandaoni. Kicheche ni wimbo unaohmusu msichana mmoja ambaye anatembea na washikaji ambao wote ni marafiki.
Cheki Video hii bovya Hapa
http://www.ghafla.co.ke/news/music/item/3237-kenyan-a-tanzanian-artistes-hook-up-for-a-collabo-about-female-players

0 Comments: