Friday, July 20, 2012

DENNIS RODMAN AKUTANA NA BABA KAYE MZAZI BAADA YA KUPOTEZANA KWA MIAKA 42

Dennis Rodman
Baba yake
Dennis Rodman, lazima utakuwa unamnyaka kama wewe ni mjanja wa mjini na kama wewe ni mpenzi wa mpira wa kikapu ama Basketball,"Mambo Ya NBA ".
Mi nilikuwa sijui, na sijui kama wewe ulikuwa unajua, lakini jamaa kumbe alikuwa hajawahi kukutana na "Faza" baba yake mzazi kwa muda wa miaka 42 baada ya baba yake mzazi, Philander Rodman Jr kuachana na mama yake Deniss na kwenda kuishi Philippines kwa takribani miaka 50.
Zaidi kumbe baba yake mzazi ana watoto 29 na ambao amezaa na wanawake 16, Duhh,..

0 Comments: