Friday, July 20, 2012

APUNGUZA UZITO KUCHEZA MUVI

Unakumbuka longtime kitambo, 50 cents alipojinyima msosi hadi kuwa mwembaba kwa ajili ya kuigiza katika filamu iliyomhusu rafiki yake aliyeugua na kufariki kutokana na ugonjwa wa Kansa. Sasa imeibuka nyingine ambapo mcheza filamu mkali Hollywood, Matthew McConaughey inabidi nae afanye alichokifanya 50 cents ili kuigiza katika filamu ambayo bado haijaanza kutengenezwa, na uaandaaji wake kuanza tu mara moja mpaka pale ambapo atakapopungua uzito unaohitajika kuendana na story ya filamu hiyo ambayo inahusu maisha ya jamaa ambaye alipata maambukizi ya Ugonjwa wa HIV.
Mcheki hapo Chini, Vipi kina Ray, JB, na wengine mnaweza hii???

Matthew McConaughey

0 Comments: