Tuesday, July 31, 2012

SNOOP DOG KIFUNGONI KUINGIA NORWAY

Rapper Snoop Dogg amehukumiwa kifungo cha kutokuingia mji wa Norway kwa muda wa miaka miwili baada ya kujaribu kuingia Norway na aina ya mmea jamii ya bangi wenye kilevi cha aina hiyo hiyo kama bangi. Snoop alikamatwa katika uwanja wa ndege wa Kjevik mwezi uliopita na kuwa zaidi ya kosa hilo alikutwa na kiasi kikubwa cha fedha ambacho nchi hiyo hairuhusu kuingia nazo mkononi "Cash" na kupigwa fine ya dola Paund 5,500. Snoop alikuwa katika Tour ambayo aliperform katika Norway's Hove Festival.

0 Comments: