Thursday, April 29, 2010

KITU KIPYA CHA BONTA NAUZA KURA YANGU

Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayekwenda kwa jina la Bonta kwa sasa ameachia kibao chake kipya kinachokwenda kwa jina la nauza Kura yangu ikiwa ni kazi yake Q ambayo anaamini itafanya vizuri katika vituo mbalimbali vya radio.
"Inakuweje wana? Ebana nawasukumia mzigo wangu mpya unaitwa (NAUZA KURA YANGU) ni mkono wa Q HARAKATI MWANZO MWISHO" bonta

0 Comments: