Mwanadada Zari, ambaye ni mganda ila kwa sasa maisha yake makubwa ni Afrika kusini amesema atafanya ziara yake ya kuitambulisha albamu yake ya kwanza leo Februari 5 katika viwanja vya Super Paradise na 7th Februari ataifanya katika viwanja vya Ggaba Beach. Ziara hiyo atashirikiana na mtoto wa kike wa marehemu Lucky Dube anayeitwa Bongi Dube
Friday, February 5, 2010
Zari kufanya ziara Feb 2010
Friday, February 05, 2010
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment