Tuesday, February 9, 2010

The Game arejea Aftermath Records

Msanii The Game amerejea kwa Dr. Dre kufanya nae kazi kama zamani.
Kwa sasa msanii huyo amefanya kazi nzuri na Dr ambapo anakuja na albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la "The R.E.D."

The Game aliondoka Aftermath na kwenda Geffen mwaka 2006 baada ya kujitoa katika kundi la G-Unit linaloongozwa na 50 Cent. Baada ya kuachia albamu yake ya pili "The Doctor's Advocate" nay a tatu "LAX" LPs akiwa Geffen.

0 Comments: