Header Ads

Faith Evans kuja na albamu mpya

Hapa akiwa na familia yake
Hii itakuwa bonge la shoo na ya hatari itakayofanywa na wanamuziki wa R&B nchini Marekani, Ray J, Monica, Keyshia Cole, na Fantasia na kurushwa hewani na vituo vya televisheni huku Faith Evans akiungana nao katika kuitambulisha albamu yake ya sita inayokwenda kwa jina la "It's All About Faith."

Faith anakuja na albamu hiyo baada ya kupotea kwa miaka 5 katika ramani ya muziki. Akiwa sambamba na meneja na mume wake Todd Russaw pamoja na watoto wake wanne katika kufanikisha albamu hiyo.

No comments

Powered by Blogger.