Hivi unajua kama mke wa Russel Simon ambaye Russel Simon ndiye mkurugenzi wa Phat Farm amenyang’wang’wa mzigo na mchezo filamu ya Hollywood Djimon aliyefanya vizuri katika filamu ya Diamond.
Kimora ambaye alikuwa mume wa Russel Simon waliachana na mumewe huyo aliyezaa nae watoto wawili na sasa yuko na mcheza filamu huyo, ambapo kila wanapokuwa wanatoka ‘out’ ujiachia ile mbaya.
Kwa upande wa Kimora ambaye ni mwanamitindo alisema kuwa kuacha na Russel sio kwa ubaya ila kwa amani na sasa yuko na Djimon ana amani na kuongeza kuwa “ Ninapokuwa na Djimon huwa najisikia kumpenda ile mbaya “alisema Kimora.
Friday, January 15, 2010
Najisikia amani kuwa na Djimon-Kimora
Friday, January 15, 2010
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment