Mkubwa hii kali ya kuanza mwaka huu wa 2010 kwa msanii wa muziki wa R&B nchini Marekani, Trey Songz hivi majuzi kuonekana kwa picha za mpenzi wake wa zamani Tonie aliyemtosa baada ya kupata mafanikio.
Msanii huyo anayefanya vizuri katika soko lam muziki duniani aliachana na mpenzi wake huyo wa zamani ambaye ndiye alimsaidia fedha ya yeye kuingia studio kipindi hicho Trey Songz akiwa hajiwezi kiuchumi.
Dah! Hii ni kali mkubwa na ni aibu kwa msanii kama yeye kupata mafanikio na kumtosa mpenzi wake wa zamani, Tonie ni msichana mrembo sijui ni kitu gani kilichowafanya mpaka kuachana.
Saturday, January 16, 2010
Umemuona mrembo aliyemlipia Trey Songz kuingia studio
Saturday, January 16, 2010
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment