Baada ya kufanya vizuri mwaka 2009, Amani kutoka Kenya na kuchaguliwa katika tuzo za MTV Mama Afrika, ambapo alikuliwa anagombea tuzo ya Africa top female artiste na kufanikiwa kushinda katika tuzo hizo.
Sasa ameuanza mwaka 2010 kwa kufanya makubwa kwa kufanya shoo ya nguvu ndani ya backyard Club ndani ya Kisii na ndio itakuwa mara ya kwanza kufanya shoo kwa mwaka 2010.
Mwanadada Amani amesema kuwa mwaka 2010 ni mwaka wa kufanya mambo makubwa na kusema anatendelea kufanya mazuri kwa mwaka huu hivyo mashabiki wake wakae mkao wa kula kusubiri vizuri kutoka kwake ila amesema sio ameweka kufanya makubwa zaidi lakini ni vyema mashabiki wake kujua kwamba ni vigumu ahadi hizo kuzitekeleza kwa asilimia kubwa.
Monday, January 11, 2010
Amani auanza mwaka 2010 kivingine zaidi
Monday, January 11, 2010
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 Comments:
Post a Comment