Mfalme wa ‘Bongo Crunk’, CP baada ya kuzindua albamu yake maeneo ya hoteli ya kimataifa ya Mövenpick yuko na mikakati mipya kwa mwaka 2010 hivyo wewe kama mdau wa msanii huyo kaa tayari kujua mengi zaidi anayokuja nayo kupitia burudanikilasiku.
Cp kwa sasa ameshazindua mavazi yake pamoja na Stickers zenye nembo yake.pamoja na tovuti yake ikiwa saambamba na filamu yake fupi yenye historia ya maisha yake kimuziki.
Saturday, January 9, 2010
CP kuja na mambo mapya kwa mwaka huu wa 2010
Saturday, January 09, 2010
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 Comments:
Post a Comment