Monday, January 11, 2010

2010 ni mwaka wangu-Mr Lenny

“Mwaka huu nalenga kufanya mambo makubwa zaidi na kuwa mwimbaji mkali kwa mwaka huu”alisema Mr Lenny.

Albamu yangu ya pili ninayotarajia kuitoa hivi karibuni itakuwa ni balaa “Sitaki kusema mengi zaidi ila mashabiki wangu wasubiri kuona mambo mazuri ila sitaki kusema mengi sana”alisema.

0 Comments: