MSANII wa Bongo Fleva Faustina Charles maarufu kwa jina la Nandy amesema anavutiwa na kila kitu ambacho wasanii Dogo Janja na Billnas hivyo kwake yeye, hao ndiyo chaguo lake.
Nandy anasema mbali na wasanii hao kuwa washkaji zake wa karibu na kuhusishwa nao na skendo za mapenzi lakini uwezo wao wa kazi unamfanya kuwa shabiki mkubwa kwao.
“Niseme tu kwa Billnas na Dogo Janja huniambii chochote, kwa hapa Bongo hao ndiyo wasanii wangu bora, napenda kile wanachofanya cheki wanavyovaa, cheki muziki wao, cheki wanavyojua kwenda na wakati, “

0 Comments:
Post a Comment