Hali ilitokana na aina ya nguo ambayo alikuwa amevaa ambayo ilisababisha kila mara awe anarudisha matiti yake ndani na hivyo kuibua gumzo kwa waliokuwa karibu yake.
Lulu alikutakana na mateso hayo ya kuzuia matiti yasitoke nje mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye ukumbi wa Cinema,uliopo Mlimani City wakati wa uzinduzi wa filamu ya Heaven Sent ya Wema Sepetu.
Lulu aliyekuwa amependeza kwa mavazi yake, akiwa amevalia gauni jeusi refu lenye mpasuo mkubwa, alijikuta akipata taabu ya kuirudisha nguo yake sehemu ya kifuani, kwani kila wakati matiti yalionekana kutaka kutoka nje.
0 Comments:
Post a Comment