MKALI wa kibao cha Kidume, Benard Paul ‘Ben Poul’ ameonekana kwenye mitandao ya kijamii akiwa ameshikilia kifimbo katika picha zake nyingi ameweka wazi siri ya kifimbo hicho kuwa ni kiashiria yeye ni ufalme wa muziki wa R&B.
Nyota huyo ameweka wazi kuwa yeye kwa sasa anataka watu wamuone kama Mfalme wa R&B ndiyo maana ameamua kuchukua kifimbo hicho na kutembea nacho.
“Hii fimbo kwanza unajua saa nyingine unawambia watu kuwa mimi ni King wa R&B, lakini hii fimbo nilinunua kwa ajili ya photoshoot halafu nikaipenda nikaamua niitumie kama props kwenye mitoko yangu na show zangu,”alisema.
Ben Pol ni moja kati ya wasanii wakali kwenye miondoko ya muziki wa R&B nchini Tanzania, na kwa sasa anatawala anga la muziki na wimbo wake mpya wa ‘Kidume’.

0 Comments:
Post a Comment