Tuesday, August 22, 2017

Robin, April Love wajiandaa kupata mtoto

MTAYARISHAJI wa muziki wa Marekani, Robin Thicke na mchumba wake wa muda mrefu April Love Geary wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.
Love Geary ambaye pia ni mwanamitindo amethibitisha hilo kupitia mtandao wake wa Instagram kwa kuweka picha ya Utra Sound ikionesha ujauzito huo.
Hata hivyo Thicke tayari ana mtoto mwenye umri wa miaka saba, Julian Fuego ambaye alizaa na ex wake Patton.Hata hivyo kiu yao kubwa kwa wawili hao ni kupata mtoto huyo kuongeza familia yao.

0 Comments: