MSANII wa muziki, Rihanna amekutana na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron na mkewe Brigitte Macron, jijini Paris kwa ajili ya kutoa misaada kwa Bara la Afrika upande wa elimu.
Rihanna anasema alikuwa na kikao kizuri na Rais wa Ufaransa na mkewe.Wamezungumza kwa kirefu kuhusu elimu na itakapofika Septemba mwaka huu wataeleza walivyokubaliana.
Moja ya ndoto yake Rihanna ni kurejea Afrika ili aendelee na mkakati wake wa kusaidia bara hilo na hasa katika eneo la elimu.

0 Comments:
Post a Comment