MSANII mkongwe wa filamu za Nollywood, Ronke Oshodi-Oke amesema hapendi kuhojiwa kwakuwa hutafsiriwa na kukaririwa vibaya ndio maana hataki kufanya hivyo.
Ronke ambaye alikuwa akiwasiliana vizuri na televisheni moja, alilamika kwamba mahojiano mengi hayawekwi kama alivyohojiwa.
Alisema mahojiano mengi yanayofanywa huwa hayawekwi kama inavyotakiwa ila huchaguliwa maeneo yanayoonekana kwao ni kuzuri zaidi.
“Ndio mana sifanyiwi sana mahojiano kutokana na hali kama hivyo, waandishi wanaweka habari wanayotaka wao bila kujali muhusika unaichukuliaje,”.

0 Comments:
Post a Comment