MSANII wa kike kutoka Nollywood, Omoni Oboli amewatolea uvivu wale wasioangalia filamu zake na kutaka kupiga naye picha kwa kuwaambia hana muda wa kufanya hivyo.
Katika mahojiano yake hivi karibuni, alisema kuna watu kiukweli hawaelewi kwani wamekuwa wakisema hawaangalii filamu zake lakini utawakuta wanataka wapige naye picha.
“Wakati mwingine wanasema siangalii filamu za Nollywood, kwanini nitoe fedha yangu kununua filamu au nitaendaje sinema kuangalia?,” alisema na kuendelea;
“Watu kama hao kuwabadilisha ngumu lakini chakushangaza ukikutana nao wanataka upige nao picha, wakitaka hivyo waende uwanja wa ndege wakamsubili Brad Pitt waone kama witawezekana kirahisi.
Aliongeza kama huangalii filamu zake basi wazo la ukimuona utake kupiga naye picha usahau mana atakuumbua.

0 Comments:
Post a Comment