RAPA French Montana na malkia wa RnB Mariah Carey wametoa remix ya wimbo utakaofahamika ‘Unforgettable’.
Kwa mujibu wa taarifa zilopo mtandaoni zinaeleza kuwa hatua ya kuachia wimbo huo umetokana na mafanikio ambayo yamepatikana kwenye albamu ya Jungle Rules.
Umahiri wao kwenye mambo ya muziki umeifanya nyimbo hiyo kuwa bora zaidi kama ambavyo wametoa kwenye nyimbo zao nyingine mbalimbali.

0 Comments:
Post a Comment