HALI ya mwigizaji Miriam Jolwa a.k.a Jini Kabula imewagusa wengi kwani kwa sasa anaonekana kama vime amechanganyikiwa kiasi cha kufanya mambo ambayo kwa akili ya kawaida ni ngumu kuyafanya.
Miongoni mwa wanaosikitishwa na hali ya staa wa Bongo Muvi Jacqueline Wolper ambaye ameoneshwa kuguswa na hali aliyonayo Jini Kabula kiasi cha kubaki akijiuliza maswali mengi bila majibu.
Kupitia kupitia kwenye Instgram yake Jacqueline anasema anatamani azungumze na Jini Kabula mambo mengi na anatamani kumsaidia urudishe akili yake lakini swali ni kwamba amechelewa?
“Wasanii wenzangu tunamsaidiaje mwenzetu?Nini kimekuta.Hali aliyonayo Jini Kabula inaniliza sana,”anasema.
Jacqueline anasema alikutana na Jini Kabula akamwambia “We ni nimwanamke mzuri sana kwenye Bongo Muvi lakini natamani kujua tatizo nini .Hakunijibu akacheka tu kisha akachukua nguo akaondoka sikupata muda wakuzungunza nae,”anasema.

0 Comments:
Post a Comment