Saturday, July 22, 2017

Stella Damasus apata wa kumpa usingizi

SIKU ya Wapendanao 2017 imeisha! Daniel Ademinokan na Stella Damasus, wameamua kuanika penzi lao kutokana na kushindwa kuendelea kujificha.
Mwanadada huyo alijibu kile ambacho Daniel alikisema jana kwa mpenzi wake aliyepita.
Katika ujumbe wake huo, Stella alisema ana furaha kwakuwa wameweza kukutana na kumuelezea mpenzi wake huyo kuwa ni baba mzuri kwa watoto wake na mume bora kwake.
“Mpenzi maneno hayawezi kueleza jinsi ninavyojisikia. Wakati watu waliponicheka na kuniita jina langu, nilisema niliolewa mara tatu, iliniumiza kwakuwa nilijua thamani yake” alisema Stella.
“Umenipa nafasi ya kupenda tena licha ya kuwa ni hatari kwangu lakini Mungu anajua ni mara ngapi usiku nilikuwa nalia na kumwambia ina maana gani hii basi mwisho wangu ufike.Lakini nilipokutana na wewe nimepata rafiki, baba, kaka, nakuamini na mfanyabiashara mwenzangu,.

0 Comments: