Wednesday, July 26, 2017

PICHA--Amber Rose, 21 Savage, Migos ndani ya ukumbi wa Medusa, Atlanta



Usiku wa jumamosi mwanadada kutoka Hollywood Amber Rose na rapa 21 Savage walikuwa wakiendesha shoo katika ukumbi wa Medusa jijini Atlanta. Wageni waalikwa walikuwa ni pamoja na Quavo na Takeoff kutoka kundi la Migos.

Amber na 21 Savage wakiwasili katika ukumbi wa Medusa na gari nyekundi ya Ferrari.
Unaweza kumuona mwanadada Amber na 21 Savage’s katika pozi.
Amber alikuwa na furaha zaidi kwa kupiga picha na pozi zaidi ya mashabiki zake.
Quavo na Takeoff wa kundi la Migos nao walikuwepo ndani ya nyumba.

Amber Rose

Amber Rose na 21 Savage


Amber Rose na 21 Savage


Takeoff Migos


Takeoff Migos

0 Comments: