Msanii Drake ametumia mwili wake kama shukrani kwa kujichora tattoo ya msanii LIl Wayne.
Miaka iliyopita msanii huyo wa Hip-Hop kutoka Canada amejichora tattoo kama zile za Aaliyah na Sade katika mwili wake.
Jina la mwisho la msanii huyo Drizzy’s ambalo ndio maarufu kwa sasa zaidi ya msanii mwenzake Young Money kama mzazi Lil Wayne.
Angalia picha chini…
Akiwa nyuma ya jukwaa usiku shoo, alionekana mkononi akiwa amejichora tattoo ya sura ya Lil Wayne…

0 Comments:
Post a Comment