BINTI asiyechuja kwa sauti yake yenye ladha tamu katika Bongo Fleva Rehema Chalamila ‘Ray C’ amesema kwa sasa anatafuta mpenzi mwenye umri wa miaka 60 ili apate nafasi ya kukaa naye kwa raha.
Amesema hana muda wa kuhangaika na vijana kwenye mapenzi kwani haoni sababu ya kuendelea nao na nafasi yao imekwisha kwake, hivyo anatafuta mpenzi mwenye miaka 60 ili atulie tuli wale raha za mapenzi mubashara.
Ray C anasema ameshakuwa kwenye uhusiano wa mapenzi na vijana lakini haoni jipya lolote , hivyo ni wakati wa kuwa na mtu mzima.

0 Comments:
Post a Comment