STAA Gigy Money amezdi kuonesha moyo wake umeshatekwa kimapenzi na bosi wa lebo ya WCB Nassib Abdull ‘Diamond Platnumz’na anachokifanya niweka mtego wa kumnasa.
Siku za karibu katika mitandao ya kijamii kumeonekana kukienea kwa kasi kubwa ya picha zinamuonesha Gigy Money akiwa na Diamond. Mmoja wa watangazaji wa redio alimtafuta Gigy Money na kufanya naye mahojiano ambapo amedai watu wasubiri kwani hayupo tayari kutoa sir.
Akatumia nafasi hiyo kusisitiza yupo ‘serious’ kabisa na kawaida kumpenda mtu akikubali kuwa mateka basi anatekwa. “Wangapi wanaonekana kama washapita tu, yeye mwenyewe mbona yupo tayari sema ntakuwa kama natoa siri,”.

0 Comments:
Post a Comment