Saturday, July 15, 2017

Nandy autamani muziki wa Rayvanny


MSANII wa muziki wa kizazi kipya anayetamba na wimbo wa One Day a.k.a Nandy amesema kwa anatamani awe kama msanii Rayvanny wa WCB kutokana na aina ya muziki anaufanya na kubwa zaidi matarajio yake ni siku moja kufanya naye kazi.
Akizungumza wiki hii, Nandy anasema kuwa kwa namna ambavyo anautazama aina ya muziki anaofanya Rayvanny na wake anaona unaendana.
“Kwa haraka haraka nikipewa ‘chance’ kwa mtu wa WCB kufanya nae ngoma nitafanya na Rayvanny. Nahisi kama aina ya muziki wetu unafanana na tunaendana,”anasema.

0 Comments: