MKONGWE wa filamu za Nollywood, Olu Jacobs, amesherehekea kutimiza miaka 75 huku mkewe akimshukuru kwa kuwezesha tasnia hiyo kufika hapo.
Mkongwe huyo alitimiza miaka hiyo juzi na kujikuta akipewa maneno yenye baraka kutoka kwa mkewe Joke Silva.
Katika ujumbe uliowekwa na mkewe kupitia mtandao wake wa Instagram, aliandika:” Heri siku ya kuzaliwa mume wangu, 75 sio mahindi.
“Ahsante kwa yote ulinifanyia pamoja na watoto wetu...umejitolea kiukweli kwa kila kitu kuwa wa kwanza,” aliendelea na kusema;
“Pia ninashukuru kwa yote uliyofanya katika tasnia hii ya sanaa, maigizo, filamu, umekuwa kwa muda mrefu katika eneo hilo.

0 Comments:
Post a Comment