Saturday, July 15, 2017

‘Mwacheni Lulu asome kwanza, ndoa baadae’

HII ni kali ya mwaka ambayo imetolewa na mama mazazi wa Elizabeth Michael a.k.a Lulu , Lucresia Karugila baada ya kueleza kuwa mwanaye bado mdogo na mipango yake ni kurudi darasani ili kujiendeleza kimasomo na si  kuolewa.
Mama Lulu alisema wiki hii kuwa Lulu mipango iliyopo mbele yake ni kusoma, hizo habari za kwamba anataka kuolewa hazina ukweli wowote.Kauli ya Mama huyo inaondoa tetesi zilizokuwa zimezagaa mtandaoni kuwa Lulu anatarajia kufunga ndoa siku za karibuni.

0 Comments: