MUME wa zamani wa nyota wa filamu za Nollywood, Mercy Aigbe, amemuomba mkewe huyo kuondoa picha zinazoonesha katika mitandao ya kijamii zinazoonesha akimpiga huku akivuja damu.
Ikiwa zimebaki siku chache kabla ya mwanadada huyo kushiriki matembezi ya hiari kupinga vitendo hivyo vya kikatili jijini Lagos, aliweka picha katika mtandao wake wa Instagram ikionesha akiwa na damu nyingi mwilini hospitalini akitibiwa.
Lakini baadaye mumewe huyo, 52 ambaye alikuwa akifanya kazi hotelini, alimtumia ujumbe wa kumuomba aondoe video hiyo.
“Mpenzi wangu naomba uitoe hiyo picha sitokupiga tena, nakuhakikishia sitofanya hivyo tena niamini,” alinukiliwa mumewe huyo kupitia Instagram ya mwanadada huyo.
Baada ya ujumbe huo, Mercy alijibu:” Kwanini mwanaume unakuwa na tabia ya kumpiga mpenzi wako, hata ukiwa na hasira lazima utambue madhara ya baadaye, hakuna mtu mwenye haki au uhuru wa kumpiga mwenzie, ni kosa kisheria,’.

0 Comments:
Post a Comment