MREMBO anayetesa katika tasnia ya filamu nchini Elizabeth Michael 'Lulu', ni moja ya staa ambaye ameingia kwenye orodha inayoonesha kuwa katika kurasa yake kuna picha nyingi za kuvutia.
Siku za karibuni Lulu kwenye mitandao yake ya kijamii aliamua kuweka picha akiwa na familia yao ambazo hakika zimeibua gumzo mitandaoni hasa kutokana na namna ambavyo zimemnogesha.
Baadhi ya picha hizo zipo ambazo zinamuonesha akiwa na mama yake mzazazi wakiwa wamevaa magauni yanayofanana na kichavutia zaidi katika macho ni uzuri wa hizo picha.

0 Comments:
Post a Comment