FILAMU ya Usinisahau ya muigizaji Issa Mussa maarufu 'Cloud 112' inasubiriwa kwa hamu kubwa baada ya kukamilika.
Kwa mujibu wa Cloud 112 ni kwamba filamu hiyo ambayo imeirokodi akiwa nchini Sweden ina mahadhi ya kitanzania na walioshiri katika kuiigiza wameonesha uwezo wa hali ya juu huku sifa nyingi akizielekeza kwa Wastara Juma.
Cloud 112 aliyekuwa nchini Sweden kwa kipindi cha miaka mitatu wakati anaandaa filamu hiyo alirejea nchini Julai 3 mwaka huu na tangu hapo amekuwa akielezea ubora na uzuri wa filamu hiyo ambayo naamini Watanzania wataipokea vema.

0 Comments:
Post a Comment