Friday, July 21, 2017

Diamond Platnumz ajumuika na Zari asubuhi katika kifo cha mama yake



Wiki chache zilizopita baada ya mwanadada  Zari Hassan kumpoteza aliyekuwa mumewake na baba wa watoto wake watatu, Ivan Ssemwanga. Na sasa jana asubuhi alimpoteza mama yake mzazi aliyekuwa akisumbuliwa na ugonywa wa moyo uliokuwa ukimsumbua kwa muda mrefu na kufariki dunia.
Alituma ripoti kufariki kwa mama yake katika mitandao ya jamii siku ya alhamis, Julai 20.Alitoa ujumbe wa kufariki kwa mama yake aliyekuwa akipatiwa matibabu katika hospitali hiyo na kuandika maneno haya.
“It’s with deep sorrow that my family and I announce the death of our lovely mother who passed on this morning. May her soul rest in peace. May Allah forgive you your sins and grant you Jana.
You will forever be loved our Old Sun, us as your kids were given the best from God as our mother. We appreciate all you did for us. We will forever cherish you Mama. Sleep well,” 


Zari is one of the ladies with a big social media following in East Africa. Mashabiki wake walijitokeza katika mitandao ya kijamii kwa kumpa pole kwa kufiwa na mama yake Halima Hassan, aliyefariki akiwa na miaka 58.
Msanii huyo na mumewe kwa sasa japo wajafunga ndoa wamebahatika kupata watoto wawili, Diamond Platnumz ni mmoja wa watu waliojumuika nae katika msiba huo asubuhi hii ya tarehe 21/7/2017. The Tanzanian music star has also been receiving lots of condolence and consolation messages from his fans too, for he has lost a mther-in-law.
Read Diamonds message below.

Mwenyez Mungu ailaze Roho yako Mahali Pema Peponi Amini….

0 Comments: