Msanii Beyonce baada ya mwezi sasa kujifungua watoto wake mapacha
Rumi na
Sir Carter kwa mara ya kwanza amewaonyesha.
Bey na mumewe
JAY-Z walikuwa wamekaa miaka mitano na mtoto wao wa kike Ivy, mapacha hawa wamekuja kujenga familia yenye furaha ikiwa na watu watano kwa sasa.
0 Comments:
Post a Comment