Msanii Ambwene Yessaya (AY) amemvisha pete jana mchumba wake wa siku nyingi Remy ambaye ni Mganda. Msanii AY yuko njiani kuachana na ukapela baada ya kukaa na mchumba wake huyo kwa miaka mingi.
Picha kwa msaada wa MxCarter Instagram
Picha kwa msaada wa MxCarter Instagram
0 Comments:
Post a Comment