MSANII wa Bongo Muvi, Alice Bagenzi maarufu Rayuu amesema ugonjwa wa vidonda vya tumbo unaomsumbua ndio umemfanya ashindwe kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhan kama ambavyo alikuwa kifanya miaka ya nyuma.
Rayuu anasema kuwa kitendo cha kutofunga mwaka huu, anaumia sana kutotimiza nguzo hiyo muhimu ya dini yake na anafanya kila awezalo kuhakikisha anautibu ugonjwa huo ili siku zijazo aweze kufunga.
Anaongeza amekuwa akijaribu kufunga lakini kabla siku haijaisha vizuri, vidonda vinatibuka hatari, hivyo anajikuta akifungulia njiani. “Naumia kwa hali hii kwani napenda kufunga ila ndo hivyo sina jinsi,”.

0 Comments:
Post a Comment