Wednesday, June 28, 2017

Michael Jordan ampongeza Russell Westbrook kushinda MVP


Mfalme wa NBA Michael Jordan ametuma ujumbe wa maandishi kwenda kwa kijana Russell Westbrook aliyeshinda tuzo ya 2017 NBA MVP. Ujumbe huo uliotoka kwa Jordan’s kumpongeza kijana huyo mwenye umri wa miaka  28 anayecheza timu ya Oklahoma City Thunder kwa kushinda kwa mara ya kwanza tuzo hiyo ya NBA MVP Award. Soma ujumbe huo hapo chini.
Michael Jordan

0 Comments: