Tuesday, June 27, 2017

BET: Bobby Brown, La La, DJ Khaled, Future, Jamie Foxx


Tuzo za BET zilizoanza mida ya saa kumi na moja jioni kwa muda wa marekani siku ya jumapili — mastaa wengi sana walikuja na watoto wao katika tuzo hizo. Wasanii hao ni pamoja na DJ Khaled na mchumba wake Nicole Tucker pichani juu na mtoto wake Asahd Khaled na mwanadada mkali kutoka NY La La Anthony akiwa amepozi na mwanae wa kiume , Kiyan Anthony.

Rapa mkali  Nayvadius DeMun Wilburn, a.k.a Future,akiwa amepozi na mwanae wa miaka  4 au 5 wa kike Londyn Wilburn. Baba na mtoto wote kwa pamoja walivaa vinyago usoni kutangaza wimbo wake mpya wa “Mask Off”.

Nae Bobby Brown alikuwa na mwanae wa kiume Cassius Brown, 8 na mkewe ambaye ni meneja wake  Alicia Etheridge katika tuzo za BET 2017 zilizofanyika Microsoft Square.


Annalise Bishop na baba yake Jamie Foxx

0 Comments: