FILAMU ya ‘All Eyes On Me’ambayo imetengenezwa kwa lengo la kuonesha maisha halisi ya marehemu Tupac Shakur imeanza kuonekana rasmi juzi.
‘All Eyes On Me’ iliyozinduliwa juzi na tayari kupitia kituo cha runinga cha HBO itaanza kuruka.Filamu hiyo ilianza kutengenezwa tangu mwaka 2016 kwenye miji mbali mbali ikiwemo Altanta, Sin City na mingineyo nchini Marekani huku ikiwa chini ya mtayarishaji, L.T. Hutton.
Ndani ya filamu hiyo kijana Demetrius Shipp Jr. ameigiza kama Tupac na Danai Gurir akiigiza nafasi ya Afeni Shakur ambaye ni mama mzazi wa rapper huyo ambaye alifariki mwezi Mei, mwaka jana.

0 Comments:
Post a Comment