MTAYARISHAJI wa muziki na rapper wa Marekani, Dr. Dre ameahidi kuchangia dola milioni 10 kwa ajili ya kujenga Shule ya Sanaa Compton High School.
Mtandao wa Los Angeles Times, rapper huyo anasema ameamua kufanya hivyo kwa ajili ya kuwasaidia vijana waweze kuwa wabunifu kwa njia ambayo itasaidia kuendeleza elimu yao.
Kwa mujibuwa mtandao huo unaeleza kuwa Dr. Dre anampango wa kujenga shule hiyo ambayo ujenzi wake unatarajiwa kuanza kufanyika mwaka 2020.

0 Comments:
Post a Comment