Lamar Odom‘s mtoto wake wa kike anayeitwa Destiny Odom amesema atapambana kwa hali na mali na kwa amani kwa Khloé Kardashian baada ya Odom kumuoa mwaka 2009. Destiny, pichani juu na kaka yake, Lamar Jr na kusema baba yake na Khloé mapenzi yake ni kama sumu ya hatari walivyokuwa wanapendana”.
“Nitajaribu kuona kama nitafanikiwa kwa hilo,” Destiny mwenye umri wa miaka 18, ameseema hayo alipokuwa akiongea na People magazine kuhusiana na Khloé. “Nafanya kwa sababu ya baba yangu . I wouldn’t say it was a matter of my dad loving Khloé more than me. I think that my dad has an addictive personality, so he was addicted to the attention he got with Khloé more than me. Yalikuwa mapenzi ya aina yake.”
Destiny amesema akiwa shule baba yake na mwanadada Khloé mapenzi yao waliyafanya wazi.
“The bullying started when he married Khloé,” she said. “There were regular snide comments at school. And when his addiction became public, then it became a social media thing. Even people that I thought were my friends were saying stuff on social media. It was humiliating.”
Destiny said her father’s addictions caused him to miss important milestones in her life such as her graduation from high school.
“Ukiwaangalia wote kwa pamoja baba na mama ni kama vile ipo siku watakuwa pamoja,'” amesema Destiny. Baada ya Odom kuwa katika hali yake nzuri ambapo alikuwa anakaribia kifo alipokuwa amelazwa Las Vegas mwaka 2015 kwa matumizi ya madawa, Destiny alipambana na famili yake kumnusuru kwa kwenda kwenye matibabu ya matumizi ya madawa.
“I basically gave him the ultimatum that it was rehab or me not speaking to him anymore,” Destiny said. “I think that hit him really hard.”
0 Comments:
Post a Comment