Thursday, June 8, 2017

Gucci Mane na Keyshia Ka’oir kulipwa Dola Milioni $1 kutoka BET ili kuonyesha harusi yao


Wapenzi toka jiji la Atlanta Gucci Mane na Keyshia Ka-oir wamekubaliana kulipwa dola milioni $1 na televisheni ya BET Network ya Marekani wamepata haki ya kuonyesha harusi yao wanayotarajia kufunga.

Msanii huyo wa Hip Hop ambaye anatambulisha kipindi chake cha maisha yake kwenye TV katika mitandano ya jamii ndani ya wiki hii. Gucci Mane na mchumba wake wa siku nyingi, Keyshia, wanataka kutengeneza safari ya maisha yao ya ndoa siku ya harusi yao Oct. 17.
Gucci previously said he spotted his future wife in the pages of XXL magazine and he hired her to appear in one of his music videos.

Amesema katika maisha yao ya kimapenzi yalikuwa na milima na mabonde ambapo ukiangalia unashindwa kuamini macho yako lakini mpenzi wangu aliendelea kunipenda hata pale nilipokuwa jera.
Katika makubaliano hayo watamlipa Gucci Dola laki nne $400 na Keyshia atapewa dola lakini mbili na nusu $250 kuhusiana na sources. Additionally, Gucci Mane is off the hook for the wedding expenses because BET will cover the costs, which will probably set BET back more than $1 million.
After all, Keyshia plans to go all out for her only trip down the aisle!

0 Comments: