LICHA ya kwamba msanii nyota, Ini Edo anaongeza uzito kila kukicha, lakini hajaacha kufanya kazi ya kupromoti bidhaa ya ‘Slim Tea’ ya nchini humo.
Msanii huyo amekuwa balozi wa kinywaji hicho ikiwa ni kampeni kubwa ambayo itasaidia watumiaji wa kinywaji hicho kupungua uzito.
Kampuni hiyo imekuwa ikiwatumia wasanii nyota nchini hapa kuzitangaza bidhaa zake na amekuwa akifanya kazi kwa karibu.
Lakini mwanadada huyo ambaye anajipatia fedha nyingi kupitia kampeni hiyo, pia inaelezwa kinywaji hicho kinja madhara kwa upande wa pili.
0 Comments:
Post a Comment