Saturday, June 3, 2017

Chacha Eke, mumewe washerekea miaka minne ya ndoa

MSANII wa kike anayependwa zaidi Nollywood, Chacha Eke Faan, amesherekea miaka minne ya ndoa yake na mumewe, Austin Faan wakiwa na watoto wao wawili.
Tukio hilo lilitokea juzi huku wakiwa na watoto zao, Kaira na Kamara.
Wawili hao walifunga ndoa Juni Mosi, 2013 na kwamba walituma picha zao katika mitandao ya kijamii wakionekana ni watu wenye amani na furaha.
Mwanadada huyo amekuwa kipenzi cha wadau wengi wa filamu nchini hunmo kutokana na kutoka na kashfa wala mambo yasiyofaa katika jamii.


0 Comments: