MPENZI wa malkia wa filamu Aunt Ezekiel, Mose Iyobo amempiga marufuku mrembo huyo kulala kambini kwa madai ya kwamba wanaandaa filamu.
Sababu za kumpiga marufuku inadaiwa inatokana na wivu wa kimapenzi ambapo wiki hii
Mose Iyobo amesema mwanzoni suala hilo lilikuwa linamuumiza kwa sababu walikuwa wanakutana mara chache sana.
“Lakini tulipokubaliana yeye ni mama na mimi ni baba vitu vya kambini vikaisha, kama ni kwenda kurekodi aende na kisha arudi nyumbani sio kulala huko huko.
“Nyumba ipo ukalale kambini kwa kisingizio gani na haushoot alfajiri, bali ni mchana kwa nini usilale nyumbani uamke asubuhi ndio uende.Sitaki mambo ya kulala kambini, basi alinielewa tuÖ ni vivu wa mapenzi na wasiwasi siunajua ndio akili,” ameeleza Mose Iyobo.
0 Comments:
Post a Comment