Haya maneno ya kigwangalla
hamisi_kigwangalla@diamondplatnumz ametoka #NjeYaBox
kifikra. Anastahili kuungwa mkono. Mimi nikiona vijana wanakuwa
wabunifu, wanatumia vipaji vyao kuboresha maisha, nafurahi sana. Maana
wanashiriki kikamilifu kuijenga #TanzaniaTuitakayo.
Huu ni mfano bora wa dhana ya Mapinduzi ya kiuchumi kutokana na watu
wenyewe kwa ajili ya watu na kutokea ndani ya nchi yetu, kama
nilivyoandika maono yangu kwenye kitabu changu cha #Kigwanomics miaka mitatu iliyopita!
0 Comments:
Post a Comment