Saturday, April 29, 2017

Noah awataka masahabiki zake watulie


SUPASTAA kipenzi cha warembo, Ramsey Noah amezinduka na kuwataka mashabiki wake kuwa na subira juu ya ujio wake mpya.
Kwa muda mrefu Staa huyo amekuwa kimya na sasa anafikiria kurejea kwenye ulingo wa sanaa, lakini akipanga kuja na kitu tofauti ambacho kitafurahisha mashabiki wake ambao wamekuwa na shauku ya kumuona.
“ Sijaacha sanaa kuna mambo yangu nilikuwa nakamilisha na tayari kuna kazi kadhaa tushatengeneza ni jambo la muda tu kuamua ipi itoke na ipi ibaki, nawapenda mashabiki wangu najua wamenimiss lakini wawe na subira nitaachia filamu hivi karibuni.


0 Comments: