Wednesday, April 5, 2017

Msikie omotola anavyojisifu yeye na mumewe

HAKUNA kama sisi! Kisura asiyezeeka Nollywood, Omotola Jalade amesema anaamini hakuna ‘couple’ bora ya mastaa nchini Nigeria kama yake na mumewe, Mathew Ekeinde.

Omotola anaetamba kwenye filamu na Mathew ambaye ni Rubani wa ndege wameoana takribani miaka 21 iliyopita na kubahatika kupata watoto wanne.
“Ukiangalia mahusiano yetu utafikiri ni kama vijana ambao wameoana hivi karibuni, ndoa nyingi za Nigeria hasa mastaa zimekuwa hazidumu lakini hii yetu ina miaka 21 unaweza kuona namna gani tunasonga,” anasema Omotola.



0 Comments: